Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Nov 12, 2017 Thread starter #41 madina makanyaga said: Hakika dadii anafaidi hongera yake Click to expand... Hehehehehehee wacha nipokee hongera yake kwa niaba. Natumai nawe unafaidi huko uliko... Alamsiki.
madina makanyaga said: Hakika dadii anafaidi hongera yake Click to expand... Hehehehehehee wacha nipokee hongera yake kwa niaba. Natumai nawe unafaidi huko uliko... Alamsiki.
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,588 Reaction score 81,561 Nov 12, 2017 #42 Kasie said: Usihofu, burudika na kawimbo na nina uhakika huyo future wako lazima akuongezee mahaba baada ya kum dediketia huu wimbo. Kila la kheri. Click to expand... Mungu aweke baraka zake hapo asee maana nahitaji hayo mahaba kama nina njaa ya wiki
Kasie said: Usihofu, burudika na kawimbo na nina uhakika huyo future wako lazima akuongezee mahaba baada ya kum dediketia huu wimbo. Kila la kheri. Click to expand... Mungu aweke baraka zake hapo asee maana nahitaji hayo mahaba kama nina njaa ya wiki
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Nov 12, 2017 Thread starter #43 chaliifrancisco said: Mungu aweke baraka zake hapo asee maana nahitaji hayo mahaba kama nina njaa ya wiki Click to expand... Hehehehehehee haya nikutakie mahaba mema, kila la kheri na baraka za Mungu zile nawe na uwe na nia njema na huyo unayemnuia isijekuwa unamtamani tuu.....
chaliifrancisco said: Mungu aweke baraka zake hapo asee maana nahitaji hayo mahaba kama nina njaa ya wiki Click to expand... Hehehehehehee haya nikutakie mahaba mema, kila la kheri na baraka za Mungu zile nawe na uwe na nia njema na huyo unayemnuia isijekuwa unamtamani tuu.....