Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,926
- 4,523
Yani wewe, kumlisha dem vipande viwili vya kuku ndio unataka umtafune? Wakati wenzako wanazama mfukoni, yani mtt kabla hajatafunwa ashapigwa kama 50K.Mbona sasa wanatafuna kuku zangu,nawao c watafute wa hadhi zao! Saiv ckubal asee
Sent using Jamii Forums mobile app
atakuwa anakaribia kufika ishirini!
Utaliwaje hafu asepe bila kuchinjaNimeshadate wanawake kadhaa lkn wakiniwahi na kutafuna vyangu hua wanasepa mazima!. Kwel nimeamini hiz n zama za kuviziana na kulipa visasi,anaemuwahi mwenzie ndo bas tena.Wakuu hua mnatumia mbinu gan pindi mtoto mzur anapokulia vyako na kusepa?
Sent using Jamii Forums mobile app