Wanakula vyangu lkn hawataki kutoa!

Wanakula vyangu lkn hawataki kutoa!

Bwii89

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
1,001
Reaction score
1,025
Nimeshadate wanawake kadhaa lkn wakiniwahi na kutafuna vyangu hua wanasepa mazima! . Kwel nimeamini hiz n zama za kuviziana na kulipa visasi,anaemuwahi mwenzie ndo bas tena.Wakuu hua mnatumia mbinu gan pindi mtoto mzur anapokulia vyako na kusepa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nihonge halafu nitakuambia siku hizi 2019 sitoi ushauri wa bure uliza wenzako humu wamefanikiwa na maushauri ya bure hata waliokosa wake wamepata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana una pesa halafu huna swaga, au kimoja wapo Kati ya hivi
1. Unanuka mdomo
2. Sura mbaya kichwa Kama kiberiti
3. ... Na mengine yanayofanana na hayo

**Pesa si kila kitu
 
Nimeshadate wanawake kadhaa lkn wakiniwahi na kutafuna vyangu hua wanasepa mazima! . Kwel nimeamini hiz n zama za kuviziana na kulipa visasi,anaemuwahi mwenzie ndo bas tena.Wakuu hua mnatumia mbinu gan pindi mtoto mzur anapokulia vyako na kusepa?

Sent using Jamii Forums mobile app
'Supersonic age'
 
Back
Top Bottom