Wanakotupeleka Polisi Siyo

Wanakotupeleka Polisi Siyo

Viongozi wa kisiasa inabidi waingilie kati uhuni wa Polisi. Haya ni mambo gami sijui. Sikilizeni
mkuu Mbona Kamanda anatoa maelekezo mazuri tu ya usalama? au anatoa amri ya kukamata madereva wa CHADEMA tu?
ngoja nishibe kwanza ndo nisikilize vizuri.
 
Hayo maelekezo ya kamanda ni sahihi kabisa, tii sheria bila shinikizo
 
Nadhani tujitafakari kama taifa. Sheria gani inamruhusu?
 
Back
Top Bottom