Wanakijiji wazuia msafara wa waziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanakijiji wazuia msafara wa waziri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EMT, Mar 5, 2012.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,438
  Likes Received: 684
  Trophy Points: 280
  Wanavijiji wa kijiji cha Muze, kilichopo katika bonde Bonde la Ziwa Rukwa, wilayani Sumbawanga, jana walizua msafara wa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adamu Malima wakati akiwa njiani kwenda katika kijiji cha Musiya katika Bonde la Ziwa Rukwa.

  Hata hivyo Naibi Waziri huyo alikuwa tayari kusikiliza kero za wanavijiji hao ikiwemo kero kubwa ya maji inayokikabili kijiji cha Muze. Pichani Naibu Waziri Malima akimsikiliza kijana Ruta Aloyce, aliyeshiriki kuzuia kwa muda msafara wa Naibu Waziri huyo.

  [​IMG]
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,452
  Likes Received: 14,795
  Trophy Points: 280
  Huyu naibu waziri kama anawaenjoy vile
   
 3. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,710
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  angepita bila kuwasikiliza aone cha motokama angefika mbali wangemtumia cha sh.100/- tu aonje joto ya rukwa!
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 15,705
  Likes Received: 8,493
  Trophy Points: 280
  Wananchi hao wanadhani alivyowasikiliza ndio atatekeleza? ni heri wangemuonyesha kuwa wanahasira kwa vitendo kidogo! ingekuwa na impact angalau, wangepunguza kuzurura.
   
 5. H

  HAKI bin AMANI Senior Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naibu Waziri wa Nishati na Madini.....Kero ya Maji!!!!! Waziri husika na mbunge wao?.......
   
 6. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,353
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  yupo kisharobaro zaidi
   
 7. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,438
  Likes Received: 684
  Trophy Points: 280
  Labda waziri husika na mbunge wao hawakanyagi hayo maeneo?
   
 8. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Jamani shida ya maji mpake leo vijijini ingawa tumepata uhuru miaka 50! kweli chama chashika hatamu ni sawa sawa kama tulikuwa ktk vita vya wenyewe kwa wenyewe! kweli lazima tuhoji, Ujamaa na kujitegemea na enzi zake za chama chashika hatamu, umelifanya nini cha maana? maji ni kitu muhimu sana. Leo hii baada ya miaka 50 ya uhuru vijana kama hawa wana lalamika, kweli mbunge na mkuu wa mmoa walikuwa wanapata mishahara ya bure!!
   
 9. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,853
  Likes Received: 3,132
  Trophy Points: 280
  hili sharobaro nishawahi kutana nalo kiwanja flani cha starehe limevaa hivihivi...kumbe ni waziri?!!!!!!
   
 10. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  na bado, itafikia mahala mtazuia mpaka misafara ya harusi! Si ni nyie wenyewe mulikuwa mnaimba mabebari walia kukatiwa mirija? si nyie wenyewe mlikuwa mnaimba, TANU kweli ni ngome ya Chuma? Si Nyie wenyewe mlikuwa mnaimba utawala wa mkoloni ni sumu? Sasa leo mnalalamika nini?
   
 11. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,853
  Likes Received: 3,132
  Trophy Points: 280
  mbona kashika pua?wananuka?picha kama hii kwa nchi za wenzetu inatosha for campaign propaganda!!
   
 12. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawa wanakijiji hata wanasikitisha! katika mawazo yao kweli wanaamini huyu Waziri atawasaidia?!!!
   
 13. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #13
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Amenusurika kupopolewa kweli!
   
 14. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #14
  Mar 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,657
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Duh! Kama Mawaziri wenyewe ndio Hawa Masharobaro!! Maendeleo kwenye hii nchi ni Ndoto ya mchana
   
 15. B

  Bhavick JF-Expert Member

  #15
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  labda ingekuwa Mbeya.huko hawawezi
   
Loading...