mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,168
- Thread starter
- #21
Hakikisha umepiga mswaki na dawa ya meno nzuri sio whitedent
Hata huoshe vipi kile kiharufu cha kupumliwa akiishi ndio maana hata mamamkwe akipita karibu na wewe unaweza kumsimamisha akaoshe. Laana ya mazoea ya kupumuliwa itakutafuna mpaka utakufa unatoa uharo. Hivi wewe umepigiwa nini huu muwasho sio wa kawaida.