Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,296
- 3,929
Taifa star timu inajua sana mpira hii afu mbona majina🧐🧐 mengi ni naniii .. kwani nanii hawajui mpira
pumbavu.Taifa star timu inajua sana mpira hii afu mbona majina🧐🧐 mengi ni naniii .. kwani nanii hawajui mpiraView attachment 3438973
Hahahaa, muanzisha uzi hamnazo kabxa huyupumbavu.
Angalia nitakuweka kwenye 19 za Kaka Jambaz ule Ban kwa kunihusisha na upumbavu .
Dogo acha kiingereza cha AI 😂🤣😆Angalia nitakuweka kwenye 19 za Kaka Jambaz ule Ban kwa kunihusisha na upumbavu .
I warn You a pathetic Scumbabag, this should never happen again . If you ignore , I won't spare you anymore.... MarassMbuss! Maarassmita!!
Dogo ushamaliza kuvisuuza vikongwe vya kiswidi au unaleta porojo tu jamvini?
Dogo anazingua ana mikwara mingi , kwanza Nina hasira nae kwa kumuangamiza mkuu wetu Maghayo siwezi kumsamehe kwa hilo ngoja niorganize Wana wa Ghayos Gang nitembeze vipisi vya bange tudili nae.Dogo acha kiingereza cha AI 😂🤣😆
Wabongo wengi akili zao ndogo sana Achana nalo linawaza udini badala litafute pesaInatusaidia nini karne hii ya 21 kujadili udini badala ya maendeleo ya Sayansi na teknolojia!
Unazingua Mzee Mimi najipinda kutumia akili yangu kuandika Kingereza halafu unaita cha Al ? weka evidence acha pigo za kutuhumu kingereza Changu kindezi wasomi wanakosoa kwa fact kama kina makosa wanabainisha makosa na kama cha Al wanaeleza kwa Nini na kuweka evidence, Mbusi wewe Maarasmbu Mongo !Dogo acha kiingereza cha AI 😂🤣😆