Inawezekana sana huyo uliyemjibu hapo ni mjukuu wa Stephen WasiraMaandamano si ghasia. Katafuteni pa kujifichia. Hamuweza kuniweka madarakani bila ridhaa ya umma, kisha tukae kimya kusubiri mtuteke, na kutunga sheria mbaya za kuwaweka madarakani kwa shuruti.
Unao uhusiano wowote na Stephen Wassira, hau umeajiliwa kumsaidia kazi ofisini kwake?View attachment 3512501
Kila kijana ana nafasi ya kuwa balozi wa amani kwa kuwakumbusha wenzake hatari za ghasia, kusambaza ujumbe wa utulivu, na kuepuka maneno ya matusi au uchochezi. Leo, katika hii Jumamosi ya kuelekea maadhimisho ya Uhuru, nawakumbusha vijana wenzangu tusherehekee kwa uzalendo, busara na mshikamano , tukijenga taifa letu kwa vitendo vya amani na upendo. #amani #tanzania #afrika #siasa #youth
I will be there tomorrow inshaAllah kwa ajili ya maandalizi ya mwisho. Nimepokea report mbaya sana leo, jamaa yangu ambaye ni jirani yangu hapo Kibaha (eneo ambalo nimejenga huko, na yeye alikua na kiwanja), kuwa jamaa alipigwa risasi akiwa ameshashuka kwenye daladala akitokea kazini kwake Kibamba CCM.Watakuambia wenzako...
Bado hawajaelewa somoDamu za watu zinalia
Walioua Watalia na kusaga meno