WanaJf wakijisahaulisha matatizo yao!!!!!!!!!

lara 1 na hivi alikuwa kesha pata moja mbili alijiachiajeee?
 
Last edited by a moderator:
Hapo chacha, lazima kifuate kifuatacho ITV
 
nimekoma,heri ya mwaka mupya mkuu

Na wewe pia ila usisahau kuniombea kuuona vyema huo mwaka Mupya.
2me nakuombea wewe na wanajf wote kuuona huo mwaka. Itz me luck boy.
 
umenisahau nimevaa Tshirt nyekundu kwa mbali maana najiheshimu hapo walinilazimisha tu kujumuika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…