Raha ya ngoma uingie ufanye yako......
Mbona na wewe na usistaDU wako wote unaIRREGULAR SHAPE from avatar.[/QUOTE]nimekoma,heri ya mwaka mupya mkuu
baraka za mwenyezi mungu mwingi wa rehema ziwe juu ya kila kikuzungukacho.Na wewe pia ila usisahau kuniombea kuuona vyema huo mwaka Mupya.
2me nakuombea wewe na wanajf wote kuuona huo mwaka. Itz me luck boy.