Wanajf twende nasie ikulu

Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
16,927
13,011
Folks, kila siku wanaenda wao tu, hata cuf walienda wakati wanachama wao ni wachache compared na jf. Twende na sie tukamuone jk 2mwambie matatizo yetu. Hebu fikiria pale saint ivuga ,the boss na nitonye wanashake hands na ******! Lizy anapiga story na mama salma. Zile juice na maji makubwa na sie tunayataka,halafu mle ndani kwa ukweli saana, invisible check na silva basi tuone!
 
naona sio mbinafsi,umeamua kuwataja wengine utafikiri ndio viongozi wetu humu jf(sijasema ungenitaja mimi)
 
Folks, kila siku wanaenda wao tu, hata cuf walienda wakati wanachama wao ni wachache compared na jf. Twende na sie tukamuone jk 2mwambie matatizo yetu. Hebu fikiria pale saint ivuga ,the boss na nitonye wanashake hands na ******! Lizy anapiga story na mama salma. Zile juice na maji makubwa na sie tunayataka,halafu mle ndani kwa ukweli saana, invisible check na silva basi tuone!

kwanini The Boss, Nitonye, Saint Ivuga? Mi napendekeza Maxence, PAW, Invisible na PJ kutoka A-town, huku mie nikiwa nyuma yao nimetinga gwanda naangalia usalama
 
kwani the boss, nitonye, saint ivuga? Mi napendekeza maxence, paw, invisible na pj kutoka a-town, huku mie nikiwa nyuma yao nimetinga gwanda naangalia usalama
magogoni is for us, ila namie lazima niende!
 
Kama ni Magogoni ya Chit-Chat poa, safari itanoga wakiwepo akina Faiza Foxy, MS na Mwita25. Lakini kama Magogoni ya kiukweli tutatakiwa kuongozwa na viongozi wetu akina Maxence.
 
Folks, kila siku wanaenda wao tu, hata cuf walienda wakati wanachama wao ni wachache compared na jf. Twende na sie tukamuone jk 2mwambie matatizo yetu. Hebu fikiria pale saint ivuga ,the boss na nitonye wanashake hands na ******! Lizy anapiga story na mama salma. Zile juice na maji makubwa na sie tunayataka,halafu mle ndani kwa ukweli saana, invisible check na silva basi tuone!
He!kweli umeongea point na sie lazima tupewe nafasi!
 
Kuna wale wa kule jukwaa la siasa ndio wanaostahili kwenda,hao ulowataja labda wakamshauri jei kei kuhusu mapenzi.
POPOOOOO!
 
Mkuu Jk ni mtaalamu inatakiwa awe member wa jukwaa la chit-chat. ana msururu na wote nadhani anawamudu kwa wakati mmoja sijui.

Jamaa nux anapenda chini mbaaya!! ana watoto kibaaao.
POPOOOOO!
 
Mimi nitakuwa na piga nakurusha jf,kama invisible alivyokuwa akifanya jana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom