Edwin Mtei
Senior Member
- Dec 13, 2008
- 181
- 342
Mimi niko huku jimbo la Kigamboni.
Wilaya: Temeke
Kata: Kwa Nyoka.
Chama: CHADEMA.
Karibuni Wote.
MwanaJF Dalai Lama kajitambulisha ni jirani yangu. Nilidhani ni Mkuu wa huko Tibet, akiishi karibu na Mount Everest. Kumbe anaishi hapa karibu na Mount Meru na anaweza kuona Mt Kilimanjaro akiwa nyumbani kwake.
Karibu sana nyumbani Dalai Lama. Tunywe chai au kahawa, tubadilishane mawazo. Huenda ukakubali kuvua gamba kama unalivaa hadi leo. Sisi CDM tunatumia mantiki, sio mabavu.
Sasa naona usalama kazini....

DALAI LAMA ni mpemba anayeishi kanda ya kaskazini
Unaishi Kigamboni, chama Chadema!! kuwa siriaz mkuu
Kwi! kwi! kwi! kwi! hapo hamnipati Jack Nzoka anataka kutupurura meno na kucha
Sasa naona usalama kazini....
Hata kama nikija au tukionana utanilipa siji n'goo, unataka unipeleke mabwepande nimekushtukia, tupeane makavu live humuhumu JF tujenge hoja za kiukombozi afu kila mtu kula kwake au kwenu.
Hahaha, hunipati. Baada tu ya kusema wewe ni CDM maana hufananii