Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Wakati magauni yanavaliwa na gagulo....sio sasa.
hahahahahahahhahaa hivi magagulo bado yapo
Ukitaka hata dozen nakuletea rangi mchanganyiko...
hahahaha sivaaagi magagulo bwana upepo ukikupeperushia gauni unabaki mweupe
ni taiti mwanzo mwisho
Sema cku hz hamna nguo za kuvalia gagulo
umeona eeeeh
Hilo gagulo limegeuka sket
hahahahaha afu wewe
To be honest dogo mwenye miwani anafanana sana na Werema.....sijui Ndio yeye???..........HUYU KWA SASA NI GAMBA ANDAMIZI!!!
enzi hizo unafunua chupi ndipo uone ---- lakin sio siku hizi mpaka upinue ---- ndipo uone chupiWakati magauni yanavaliwa na gagulo....sio sasa.
enzi hizo unafunua chupi ndipo uone ---- lakin sio siku hizi mpaka upinue ---- ndipo uone chupi
Picha zako zinasikitisha sana aisee.
Pole sana............ndio maisha halisi ya mtanzania hayo