Wanajeshi wetu DRC

Inawezekana hii ni biashara ya mkubwa ndo maana huwa yuko faster kupeleka majeshi yetu kwenye mission za UN anajua atavuna Bingo la UN la kutosha,na ndo maana kwenye mission zinazo simamiwa na AU awapeleki wanajua amna kitu kule..poleni wanajeshi kazi mnafanya nyinyi uko kongo ,mshahara wanakula wao hapa dar..aisee kwli hii nchi ukiipatia ni nyepes mno .ndo maana wachina hawataki kurudi kwao.

acha majungu yenu watu wanalipwa vizuri na un mnaleta uongo hapa,na kwa taarifa yenu huko congo hatutoki tena, mmeshaanza kukosa madini na mbao!!!
 
UN mission ziko financed na wao wenyewe alafu tuna vitengo makini vya siri vya usalama hivyo kama kuna malalamiko ya askari yananaswa mapema na kufanyiwa kazi ndio maana askari wetu wananidhamu nzuri siasa za CCM zisipopenyezwa.
Alafu mambo kama viongozi kutembelea askari si option kama ikionekana inafaa kijeshi.

Tuache propaganda labda kama habari hii haijakamilika
 
Back
Top Bottom