Wanajeshi watumike kulinda Raia

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,583
Hello JF

Kwanza najua distinction between police na wanajeshi..

Na hili ninalowaza labda halijawahi kutokea…...

Ila nadhani kuna wanajeshi wengi sana ...

ambao wangeweza kulinda mji..LOL

Police resources are limited..

Ukifikiria mtu akiumia labda kapigwa risasi..ni yeye ndio aende Police kutoa taarifa...na sio police kufata crime scene...(sijui kama utaratibu ni huo bado)

Kwa hio waongezewe wanajeshi😁😁😁😁,

Wawe wanazunguka mji kama wanavyofanya sungu sungu..ama community police.😁

Itasaidia sana I think...LOL

mnaonaje,Becky kapuyanga as usual???:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
 
Mkuu,

Bandiko ama uzi wako umejaa 'Vicheko' vingi sana ama lukuki.

Na mimi naomba nicheke kabla sijakujibu. Hahaha!

Sawa, tuendelee.

Katika mataifa mengi, Jeshi ama kwa lugha ya Kiingereza, Army, linatumika kulinda pia raia kama lilivyo tu Jeshi la Polisi ndiyo maana kwa ujumla huitwa Majeshi ya Ulinzi na Usalama.

Lakini ulinzi wa Kijeshi upo katika mtindo tofauti kidogo wa kuilinda mipaka ya nchi nzima ambayo ndani yake ndimo Wananchi wameikalia ili isije kuvamiwa na "Wajanja" kutoka nje.
 
Hahahahaahah Umenichekesha ujue mkuu hapo mwanzo...

Mkuu kulinda mipaka ya nchi sio kwamba ni baadhi tu ya wanajeshi???

..si mpaka tuvamiwe ndio wanajeshi wote wataingia 'mzigoni' 😁 😁 ..sasa hao wengine ambao ki location hawako huko mipakani wanafanya nini sasa hivi..???

Kuna haja ya kuongeza nguvu kwa Police...kuongeza public safety na confidence..
 
Wanaweza kufanya hivyo, ila nadhani hatuna uhitaji huo kwasasa, kama takwimu za uhalifu zingalikua ni kubwa na polisi wamezidiwa basi automaticaly hao wajeda wangekua deployed huko penye mapungufu.

Mahitaji yetu kwasasa ni teknolojia, kuwa na taarifa zote ili matukio ya kihalifu yanapofanyika iwe rahisi ku trace wahalifu.
 
Mimi nalindwa na wastaafu watatu na vijana kutoka JKT 7.
Sasa hivi natafuta polisi mwenye ngazi ya OCPD aje aongeze nguvu kwenye mabanda ya bata
 
Thanks mkuu,ila mahitaji yapo ..uhaba wa police unafanya wasifike kwenye tukio..nimeona mahali..report ya kwanza ni ya Police aliye gather evidence kwenye crime scene sio victim report,labda baadae ndio atatoa report yake (Victim)..sasa Police wa sasa ni wachache wanabaki kituoni,ingekua wanajeshi wako mtaani kila mahali..hata kukitokea kitu ...yupo available kungepunguza uhalifu...halafu sio lazima mpaka matokeo ya uhalifu yawe juu ndio tuanze kuhangaika kupunguza..tunaweza kuya 'control' kabla hayajafika record high..
 
Mimi nalindwa na wastaafu watatu na vijana kutoka JKT 7.
Sasa hivi natafuta polisi mwenye ngazi ya OCPD aje aongeze nguvu kwenye mabanda ya bata

Hongera, tafuta walinzi wa sisimizi pia kwenye himaya yako...
 
Thanks mkuu,ila mahitaji yapo ..uhaba wa police unafanya wasifike kwenye tukio..nimeona mahali..report ya kwanza ni ya Police aliye gather evidence kwenye crime scene sio victim report,labda baadae ndio atatoa report yake (Victim)..sasa Police wa sasa ni wachache wanabaki kituoni,ingekua wanajeshi wako mtaani kila mahali..hata kukitokea kitu ...yupo available kungepunguza uhalifu...halafu sio lazima mpaka matokeo ya uhalifu yawe juu ndio tuanze kuhangaika kupunguza..tunaweza kuya 'control' kabla hayajafika record high..
Utaratibu uliopo kwa sasa ni wa kawaida hata kama kuna upungufu wa maafande, linapotokea tukio ni jukumu la wananchi waliopo eneo la tukio kutoa taarifa polisi, polisi waliopo karibu na eneo husika ndio wanapaswa kufika kuanza kutoa huduma inayohitajika, kama kutakua na uhitaji zaidi mawasiliano yatafanyika na vituo vingine ili nguvu iongezwe.
Hao unaosema wa mitaani pia wapo wamepangiwa maeneo ya kufanya doria, kuna maeneo ukipita usiku utakutana nao wakiwa na silaha zao.
 
Wananchi wanatoaje taarifa Police kama sio kwenda wenyewe vituoni..?? hapo nilipo bold?.

....nachotaka mimi ni quick response kwenye matukio ya uhalifu..

..sijakataa kwamba Police wahafanyi kazi bali nataka waongezewe uwezo..

.kukiwa kwa mfano na wanajeshi mtaani,

halafu kuna number ya simu ambayo mtu anaweza kupiga akiona uhalifu on the spot, Police wanampigia 'mwanajeshi' nae anafika kwa haraka kwenye tukio..huoni ni kama kitu kizuri??..hata wale wanaounguza wenzao kwa ajili ya wizi wanajeshi wangeokoa uhai..na kukamata wahalifu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom