Wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya Upinzani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?

Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
 
Hilo pumbavu mleta mada sijui hata lina akili za wapi..
Anaona ni haki na sawa kwa Wanajeshi na Polisi wanavyojiunga CCM..
Lakini hawa jamaa hawakujiunga na upinzani kama ulivyosema bali walipata ajira ya kumlinda Kiongozi wa Upinzani.
Hahahaaaa...... Povu linakutoka sana manka.

Kwahiyo chama cha upinzani kinaajiri wanajeshi!
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?

Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!

..wanaruhusiwa.

..Mmoja wa makamanda walioongoza vita vya Kagera, Maj.General Marco Mwita Marwa, jina la kivita " jenerali kambale," aliwahi kuwa mwanachama wa Chadema.

..pia baadhi ya waasisi wa mageuzi ya siasa nchini walikuwa ni wanajeshi wastaafu, kwa mfano, Capt.Mashaka Nindi Chimoto.

Chimoto ni mmoja wa waasisi wa National Committee for Constitutional Reforms ambayo baadae ilibadilishwa na kusajiliwa kama chama cha siasa.
 
Back
Top Bottom