Wanajeshi wanapoua muasi

Wanajeshi wanapoua muasi

Texas Tom.

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
510
Reaction score
273
1656407_729496353735699_1701712221_n.jpg

Wanajeshi wamuua muasi wa Seleka CAR

Wanajeshi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, wamemuua mwanamume mmoja anayetuhumiwa kuwa muasi wa Seleka huku ghasia zikikithiri nchini humo.......BBC
 
Waisilamu huwa ni wapambanaji kweli hata kwenye nchi ambazo wao ni minority, lakini kwa huko Central African Republic, naona waisilamu (Seleka) wamenyoosha mikono!
 
Daaah,huyo gwanda naona akomaa nz mafunzo kweli..Kwa jinsi alivyonyanyua kitofa hiko,huyo jamaa haponi.

"Nlikuwepo":bolt:
 
kweli wamezidiwa sana..labda wamekosa support maana wenzao wa nchi nyingine wanapewa support na.alqaida na.alshabab
 
Hao sio wanajeshi - mwanajeshi hapigi mtu na mawe ambaye tayari yuko hoi - hii nch haitakaa sawa sababu ya askari kama hawa - askari ni yule anaeonyesha maadili ya kiaskari na hajifanyi kama jambazi
 
mm ninaona sawa tu tatizo ni nini? watu wamewachoka hawa majamaa kwa sasa nikuwauwa tu ndio kazi iliyobaki. unaona huruma ya nini? kwangu safi. wamewauwa sana wakristu wafala hawa sasa ni kiama chao!!!! wahame nchi!!!
 
Taifa la mungu lilo kuwa la kuonewa kila pembe ( ukristo ).
 
Back
Top Bottom