Wanajeshi wakisaidia kumvusha mtoto kuepuka wataliban

Kwa asilimia kubwa naungana na wewe ila nakupinga kwenye kukubalika kwa Taliban. Popote kulipo na ugaidi lazima kutakuwa kuna watu wanawakingia kifua hilo lipo dunia nzima ila hiyo haimaanishi kuwa majority wanawaunga mkono.

Tatizo la Marekani kila anapoenda kupambana na ugaidi anageuka kuwa tatizo la pili kwa raia wa nchi husika. Wanajeshi wa Marekani lazima wawe na vichwa vibovu mambo wanayoyafanya binadamu wa kawaida hatakiwi hata kuyaona. Siku za karibuni tu hapa kuna whistleblower anaitwa Daniel Hale ambae ni Drone Pilot amefungwa miezi 45 kwa kuvujisha siri kuwa Drones mara nyingi huwa hazilengi target iliyokusudiwa badala yake wanalenga watu wasio na hatia, wakili wake alikuwa anahojiwa anakwambia maranyingi marubani wa hizo drones wanatumia madawa ya kulevya na serikali inajua hilo.
 
Kama nilivyosema juu mkuu si kwamba Nawatetea Taliban kama watu wema, 1996-2001 walikuwa na wao wakiwatesa Sana wa Afghanistan.

Ila between Wamarekani na Taliban majority wanachagua Taliban kama lesser evil,

Nilitoa source hii ya wa Afghanistan waliokuwa ukimbizini Pakistani wanarudi nyumbani sababu mabomu yameisha.

Watu wanataka stability tu, Ile mtu ana weza kulima mpaka kuvuna kwa amani.

 
Ngoja tuangalie yajayo mkuu.
 

Unafiki huo,, hawana lolote
 

kwa unyama waliofanya wamarekani zidi ya waafganistani tulitegemea wakimbizi wengi wangukuwa wanakimbilia saud arabia yemeni irani kuweit,
 
kwa unyama waliofanya wamarekani zidi ya waafganistani tulitegemea wakimbizi wengi wangukuwa wanakimbilia saud arabia yemeni irani kuweit,
Ushawahi kuangalia Ramani ukaona Afghanistan ipo wapi na inazungukwa na Nani?

Afghanistan haipo Middle East hivyo ni ngumu kwa wakimbizi kukimbilia huko, Bali ipo Indian Sub continent kule imepakana na Nchi za Iran, Pakistan, Tajikistan, Uzbekistan na Turkmenistan.

So far wakimbizi wengi wa Afghanistan wapo Pakistan Takriban milioni 1 na nusu wakifuatiwa na Iran laki 7.

Hao USA unaowatetea Wana Wakimbizi 15,000 tu, tena ni vibaraka wao, wala hawana Time na raia wa kawaida wa Afghanistan.

Nchi za ulaya/Nato Kama Ujerumani, Uturuki, Austria Etc zina wakimbizi Wengi japo hazijapiga vita, zinapata Tabu kulea watu sababu ya Fujo Za Marekani.
 

shekhe hoja zako nzur ila zinapoteza mana unapochanganya na chuki, unasema wakimbizi walioko marekani ni vibaraka wao unawezaje kulithibitisha hilo?
 
shekhe hoja zako nzur ila zinapoteza mana unapochanganya na chuki, unasema wakimbizi walioko marekani ni vibaraka wao unawezaje kulithibitisha hilo?
Soma hii Article toka voice of America.

Hiki kipande nimekitoa
Though no promises were made on how many people were expected to be evacuated, the Biden administration has repeatedly said it is working to speed up the evacuation of Afghans in danger who assisted the U.S. military


Marekani hachukui wakimbizi na wao wenyewe wanasema wanaowachukua ni wale waliosaidia jeshi La Marekani, aka vibaraka wa marekani.

Wakimbizi wengine wataenda tu uturuki, Ujerumani, na kwengineko , Nchi ambazo hata hazihusiki zinapata Tabu sababu ya US.
 
Baba mwajuma anatetea Taliban ....what a surprise!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…