Wanajeshi wa Ukraine waongea kwa uchungu baada kuvunjwa vunjwa viungo vyao huko Kherson

Screenshot_20220907-224608.jpg
 
Mmmmh

Mbona wa Ukraine wa huku Malandizi wanasema Askari wa Ukraine wanasonga Mbele na kurudisha maeneo. Sasa hii habari ya wao kushushiwa kipondo umeitoa wapi...
Na bado ...kisago kinachokwenda kuwapata UKROs hapo kinaweza kabisa kumaliza hii vita ..ingawa Putin kea sasa sidhani kama anataka iishe mapema
 
Hahaha operation jamaa anahangaika mpaka anatumia hypersonic missiles lakini wapi
Hivi ulibahatika kuona japo picha za huo mji wa western Ukraine ilikotua hiyo kazi ya Hypersonic ? ...acha ushabiki maandazi mkuu hilo dude lisikie tu ...we unajua NATO wako wa michongo wamekaa pembeni wanacheck show kwa kupenda kwao?
 
Huyo Russia angekua hapati vilema au Vifo vya Askari wake angekua anatangaza casualties zake lkn ni miezi sita sasa tangu atoe report mwezi march kwamba wamekufa wanajeshi 1500,mwezi baadae kuna tovuti ya Urusi Bahati mbaya ikapost kwamba wanajeshi zaidi ya elfu 10 wamefariki,wakafuta fasta.

Warusi wangekua hawafi Leo hii wangekua ikulu ya kiev
Mbona unampangia mkuu?

Hata UKROOS wenyewe wanasemabratio ni 5:1
 
Huyo Russia angekua hapati vilema au Vifo vya Askari wake angekua anatangaza casualties zake lkn ni miezi sita sasa tangu atoe report mwezi march kwamba wamekufa wanajeshi 1500,mwezi baadae kuna tovuti ya Urusi Bahati mbaya ikapost kwamba wanajeshi zaidi ya elfu 10 wamefariki,wakafuta fasta.

Warusi wangekua hawafi Leo hii wangekua ikulu ya kiev
Ni ngumu kuamini, ila askari wa russia wanapotea saaana ktk hii battle. Na kwa sasa wanaona bora kurudi nyuma kuliko kukazana sababu wanajua tactically wapo nyuma kuliko Ukraine.

Ukraine ingekuwa na zana za kivita za kutosha na uchumi mkubwa, Russia alikuwa anasagika mno ktk hii vita.
 
Back
Top Bottom