Wana utahira ndani mwao, BBC ikiripot habari negative kuhusu Ukraine wataamini, ikiwa negative kwa Russia watasema propaganda.Habari hiihii ingekua ni ya upande wa pili halafu source ndo hii Washington Post media ya West ingesemwa ni Propaganda ila kwakua ni ya Ukraine bhas ni kweli hapo hamna propaganda.