Wanajeshi Wa Marekani Wapata Ajira Saudi Arabia na United Arab Emirates

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Baada ya mashambulizi ya wasiojulikana kwenye vituo vya kuzalisha mafuta Saudi Arabia imefahamika kuwa Marekani watapeleka wanajeshi maelfu huko Saudi Arabia na United Arab Emirates.

Hawa wanajeshi watalipwa mishahara na marupurupu yote na nchi hizo mbili zitakazolindwa.

Je, mashambulizi haya kwenye vituo vya mafuta vilipangwa ili ajira ipatikane?
 
Njia nzuri ya kutengeneza ajira kwa watu wake, na itakuwa permanent job for years, inanikumbusha jinsi gani kampuni za mafuta zilivyochota mafuta ya bure uko Iraq kipindi cha vita, yale makampuni yalitengeneza faida mara dufu. Pia ni njia ya USA kuweza kusoma vizuri Iran Kw ukaribu
 
Baada ya mashambulizi ya wasiojulikana kwenye vituo vya kuzalisha mafuta Saudi Arabia imefahamika kuwa Marekani watapeleka wanajeshi maelfu huko Saudi Arabia na United Arab Emirates. Hawa wanajeshi watalipwa mishahara na marupurupu yote na nchi hizo mbili zitakazolindwa.
Je mashambulizi haya kwenye vituo vya mafuta vilipangwa ili ajira ipatikane?
Marekani ni muhuni sana,
Ila sio mbaya waarabu wanahela nyingi za mafuta hawajui hata wazitumie vipi.
 
Baada ya mashambulizi ya wasiojulikana kwenye vituo vya kuzalisha mafuta Saudi Arabia imefahamika kuwa Marekani watapeleka wanajeshi maelfu huko Saudi Arabia na United Arab Emirates. Hawa wanajeshi watalipwa mishahara na marupurupu yote na nchi hizo mbili zitakazolindwa.
Je mashambulizi haya kwenye vituo vya mafuta vilipangwa ili ajira ipatikane?
tusikwepeshe mambo,tuwe wakweli,saudia imeshambuliwa na drones za wahouth wa yemen,nao wamekiri kuwa wameshambulia,mifumo ya kujilinda ya kimarekani yaani(thaad,patriot,nk,,) ina madhaifu mengi,hivyo kufanya maadui kuipiga chenga kirahisi.
 
Njia nzuri ya kutengeneza ajira kwa watu wake, na itakuwa permanent job for years, inanikumbusha jinsi gani kampuni za mafuta zilivyochota mafuta ya bure uko Iraq kipindi cha vita, yale makampuni yalitengeneza faida mara dufu. Pia ni njia ya USA kuweza kusoma vizuri Iran Kw ukaribu
Nakubaliana na points zako zote mkuu ila napingana na hapa 2 Pia ni njia ya USA kuweza kusoma vizuri Iran Kw ukaribu

US Alikuepo IRAQ Ambayo ipo karb zaidi na IRAN Nayupo Sehem mbali mbali hapo mido ist

Wacha tuone
 
Gaddafi aliwahi kuwaambia badala ya kutumia majeshi ya magharibi kwanini wasichukue kutoka kwenye nchi za umoja wao?
Walimbeza sana na hivyo kumfanya aomdokane na umoja wa nchi za kiarabu na kurudi rasmi jumuia ya Africa na kuanza ziara za nchi za Africa

Hawa watachezewa sana na kuamini kuwa ni USA tu ndio anaweza kuwalinda
 
Mi naona ni mbwembwe tu za kujitetea maana sizani kama kutakuwa na jipya maana mifumo ndo iyo iyo, ingekuwa wanapeleka mifumo mingine ingekuwa sawa lakini mifumo ile ile sasa hata kama ukipeleka wanajeshi elfu 5000 watasaidia nin kuzuiya mashambulizi?

Hapo kazi ilitakiwa apewe Urusi maana wana mifumo mingi na ni ngumu kupenya katika mifumo yao yote.awa waasi wa houth sio wa kuwamin hata kidogo maana unaweza ukashangaa safari ijayo wakatulipulia Makha yetu
 
Baada ya mashambulizi ya wasiojulikana kwenye vituo vya kuzalisha mafuta Saudi Arabia imefahamika kuwa Marekani watapeleka wanajeshi maelfu huko Saudi Arabia na United Arab Emirates. Hawa wanajeshi watalipwa mishahara na marupurupu yote na nchi hizo mbili zitakazolindwa.
Je mashambulizi haya kwenye vituo vya mafuta vilipangwa ili ajira ipatikane?
Hata waende wote hawawezi kumaliza mafuta ya saudia!
 
Baada ya mashambulizi ya wasiojulikana kwenye vituo vya kuzalisha mafuta Saudi Arabia imefahamika kuwa Marekani watapeleka wanajeshi maelfu huko Saudi Arabia na United Arab Emirates. Hawa wanajeshi watalipwa mishahara na marupurupu yote na nchi hizo mbili zitakazolindwa.
Je mashambulizi haya kwenye vituo vya mafuta vilipangwa ili ajira ipatikane?
Mbona una fikra shallow kiasi hicho, wanajeshi tayari wana ajira kutoka US, unaposema ilikuwa ni mpango wapate ajira ina maana walikuwa jobless?
au wakiwa US walikuwa hawalipwi mishahara? Umeandika Mada ya kitoto kweli.
Those US forces will be double paid during their roles in the Middle East.
Na Siyo kwamba eti wamepata ajira.
 
tusikwepeshe mambo,tuwe wakweli,saudia imeshambuliwa na drones za wahouth wa yemen,nao wamekiri kuwa wameshambulia,mifumo ya kujilinda ya kimarekani yaani(thaad,patriot,nk,,) ina madhaifu mengi,hivyo kufanya maadui kuipiga chenga kirahisi.
THAAD bado haijapelekwa huko
Patriot DS ilielekezwa upande wa Yemen na Iran
Drone zimetokea Iraq na ndege yoyote ikiruka chini sana haionekani ndio maana kwenye viwanja vya ndege kuna Tower ambayo inaangalia ndege zinazoonekana kwa macho ya binadamu Kuna Radar inayoona mbali zaidi
 
Baada ya Uchagusi 2020 January 21 2021 Iran na wenzake watajuta maana Trump atashinda na hataruhusiwa tena kugombea
 
Baada ya mashambulizi ya wasiojulikana kwenye vituo vya kuzalisha mafuta Saudi Arabia imefahamika kuwa Marekani watapeleka wanajeshi maelfu huko Saudi Arabia na United Arab Emirates. Hawa wanajeshi watalipwa mishahara na marupurupu yote na nchi hizo mbili zitakazolindwa.
Je mashambulizi haya kwenye vituo vya mafuta vilipangwa ili ajira ipatikane?
Mimi huwa nahisi mwana mfalme wa Saudia ana mapungufu makubwa mno,na anamtumia Marekani kuyacover. Ila mbaya Zaidi anatumia resources za nchi kulinda ujinga wake. Nina uhakika Marekani anajichotea mafuta kiulani sana Saudia
 
tusikwepeshe mambo,tuwe wakweli,saudia imeshambuliwa na drones za wahouth wa yemen,nao wamekiri kuwa wameshambulia,mifumo ya kujilinda ya kimarekani yaani(thaad,patriot,nk,,) ina madhaifu mengi,hivyo kufanya maadui kuipiga chenga kirahisi.
Wasaudia watakuwa waliuziwa vifaaa kanyaboya na USA. Ili wafanye yao ivi, kwa vifaaa ivyo ivyo walivyouziwa na USA, ndio wanavyotumia kuililinda Silicon Valley pale California na New York na Washington DC jibu ni hapaba hii migogoro inampa raha sana Israeli. Maana mashariki ya kati, nchi zote wapo tofauti na Israel. Sasa wakiungana ni hatari kwa Israel

Ugali Maharagwe umeharibu akili za watanzania
 
Mi naona ni mbwembwe tu za kujitetea maana sizani kama kutakuwa na jipya maana mifumo ndo iyo iyo, ingekuwa wanapeleka mifumo mingine ingekuwa sawa lakini mifumo ile ile sasa hata kama ukipeleka wanajeshi elfu 5000 watasaidia nin kuzuiya mashambulizi?

Hapo kazi ilitakiwa apewe Urusi maana wana mifumo mingi na ni ngumu kupenya katika mifumo yao yote.awa waasi wa houth sio wa kuwamin hata kidogo maana unaweza ukashangaa safari ijayo wakatulipulia Makha yetu
Subiri wawashangilie tuuu hawo wavaa viremba wa Iran kuna siku watapiga kinu apo MECCA. sehemu ya HIJJA. Na wakagonga kipindi cha HIJJA wapo watu wengi wakawaua watu wengi ndio mtamfurahia sana huyo Iran

Back
Top Bottom