Wanajeshi wa Marekani wakanyaga bomu huko Ukraine

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,307
35,852
Ukitaka kujua uwezo wa bomu basi shuhudia gari linapokanyaga bomu la ardhini

Vipande vya viwiliwili vya wanajeshi wa Marekani Pamoja na wanamgambo wa Ukraine vimetapakaa kando ya barabara baada ya gari aina ya Land Rover ya kivita ilikua iki supply uwanja wa vita kukanyaga bomu lililotegwa na makomandoo wa Urusi.

Sensitive content

American mercenaries along side Ukrainian soldiers get blown to bits in Ukraine.

The video shows an American-supplied, Land Rover Defender SOV, usually operated by merc units driving over a Russian mine.
IMG_20240307_172740.jpg
Screenshot_20240307-172502~3.jpg
Screenshot_20240307-172521~2.jpg
Screenshot_20240307-172549~2.jpg
Screenshot_20240307-172617~2.jpg
 
Marekani wahuni tu ,kila vita wapo ... Uingereza meli yake imepigwa watu kama 9 wameenda hao Houth nawakubali hawataki ujinga ....Hakuna kupitisha meli.

Hawa ndio chanzo cha matatizo yote duniani ,kila sehemu wapo vita hata haiwahusu ila wapo.
Wazee wa mara tano mna tabu 🤣🤣🤣......vipi mbona meli zinapita red sea au wewe unadhani red sea ni kama mto rufiji.....ukisimama mwanzo unaona mwisho 🤣🤣
 
Marekani wahuni tu ,kila vita wapo ... Uingereza meli yake imepigwa watu kama 9 wameenda hao Houth nawakubali hawataki ujinga ....Hakuna kupitisha meli.

Hawa ndio chanzo cha matatizo yote duniani ,kila sehemu wapo vita hata haiwahusu il

Mkuu gaza vipi.....umekimbia....???
Unawapenda wazungu makafiri wa urusi.
Unawachukia wazungu makafiri wa marekani🤣🤣🤣
Nipo Congo na kikosi cha SADC tunawafyeka majangili ya Kitusi yanayo jiita M 23 tutahakikisha tunang'oa mpaka shina la hayo majangili majizi ya rasilimali za Congo
 
Marekani wahuni tu ,kila vita wapo ... Uingereza meli yake imepigwa watu kama 9 wameenda hao Houth nawakubali hawataki ujinga ....Hakuna kupitisha meli.

Hawa ndio chanzo cha matatizo yote duniani ,kila sehemu wapo vita hata haiwahusu ila wapo.
Hao Houth ni wajinga kuliko, wanashambulia meli za kiraia na waingereza wakishambulia vijumba vyao vya kiraia na mahahazi yao huko Yemen watalia genocide.
 
Nipo Congo na kikosi cha SADC tunawafyeka majangili ya Kitusi yanayo jiita M 23 tutahakikisha tunang'oa mpaka shina la hayo majangili majizi ya rasilimali za Congo
Umeshindwa kulinda rasilimali zako nyumbani beberu anachukua bila kurusha hata risasi moja. We unaenda kulinda za mwenzako
 
Back
Top Bottom