STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,638
- 16,568
Siasa ya huko ni ngumu sana , ata Turkey analinda masilahi yake hivyo sadaka ni jambo la kawaidaVikosi vya Syria vimewauwa wanajeshi 6 wa Uturuki Mapema hii leo na kuwajeruhi Vibaya sana huku Uturuki ikijibu kwa kuyalenga maeneo mbali mbali yanayokaliwa na Vikosi vya Syria View attachment 1353503
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi uturuki inaongozwa na nani sjui?.
Kinachofanya asitulie nchini kwakeni kipi hasa??
Nchi ya syria inakomboa mikoa yake zidi ya waasi wewe unaingilia ili iweje?
View attachment 1353922
View attachment 1353923
View attachment 1353925
View attachment 1353927
Hiki Ni kipigo kingine baada ya hicho juu,hii Ni convoy ya Turkey Al nusra imepigwa jioni hii,Syria hawapendi ujinga
Edogan hatalala usingizi, sijui nani anamshawishi.View attachment 1353922
View attachment 1353923
View attachment 1353925
View attachment 1353927
Hiki Ni kipigo kingine baada ya hicho juu,hii Ni convoy ya Turkey Al nusra imepigwa jioni hii,Syria hawapendi ujinga
Umeona eh. Maslahi.Hivi Vita vya Syria vina wadau wengi kila mmoja ana sababu iliyompeleka huko.
Uturuki itakuja kuondoka siria kwa aibu kubwa sana.View attachment 1353922
View attachment 1353923
View attachment 1353925
View attachment 1353927
Hiki Ni kipigo kingine baada ya hicho juu,hii Ni convoy ya Turkey Al nusra imepigwa jioni hii,Syria hawapendi ujinga
Hilo shambulizi so la ndege HioUturuki akitaka hii vita iwe nyepesi kwake basi hahakikishe anampokonga Mrusi Anga ya Syria ili aweze kurusha ndege zake,bila kufanya ivyo itakuwa ngumu kupigana na Assad.ukiangalia kwa jinsi convoy ilivyoshambulia utajua kabisa hii ndege iliyoshambulia sio ndege ya kawaida kabisa.Assad ndege zake hazina uwezo wa kulenga shabaha kiasi icho kama sio SU-34 basi itakuwa SU-35 za Mrusi
Sent using Jamii Forums mobile app