Wanajeshi kwenye utawala wa Magu

Kule mikoa ya mipakani kwenye usumbufu wa wakimbizi ndio kuna wanajeshi kama wakuu wa mikoa.

Na si yeye tu hata watangulizi wake walifanya hivyo kutokana hali yenyewe kuwa tata.
 
Na waliostaafu nao mmewahesabu Au...Mi naona waongezeke tu hakuna namna....
 
Naomba tuwe huru kujadiliana jamani

Naona Anko anazidi kupenyeza wanajeshi kwenye uongozi wake huu kuliko kawaida ivi hii ni dalili ya nini?


Tujiandale
Hapa ni kazi tu hamna mjadala wala kurembaremba walakugoma goma kipuuzi!
 
Back
Top Bottom