Karibu mwaya...ila kuna mtu umekosea jina lake hapo embu rekebisha asije akanuna...badala Uprotocol andika Uporoto!Alafu jifunze kugonga Thanks mapema... kuonyesha shukrani pale unapokubali/furahi/ridhika!Unapendwa pia!
Habari zenu wanajamvi, ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya.
Leo ni mara yangu ya kwanza kujiunga na jamii forums ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu sana na nimejikuta nikivutiwa kujiunga. Navutiwa sana nanyi wote wana jamvi kwani pamoja na mikwaruzano ya hapa na pale, huwa nafurahia mtu anapokuja na tatizo anapewa moyo sana na mwisho anajikuta tatizo lake limeisha na anakua na amani tele.
Shukrani kwa wote ninyi nitakaowasahau naomba mnisamehe ila nawapenda wote:
Aspirin, Rose 1980, Dena Amsi, Lizzy, Uprotocol, Darck City, Klorokwini, Susy, Wiselady, Mwanajamii 1, Bubu ataka kusema, The Finest, Teamo, Tausi mzalendo, woman of substance, pakajimy, Fidel, Acid, Afrodenzi, Preta, kibiritingoma, Askofu, Mzee Mwanakijiji, Kimey, Shantel, Kaizer, LD, Mbu, Mpendwa, Kakakiiza, gaga, St. RR, St. Paka mweusi, Miss Judith, Maria roza, husninyo, Mamushka, Chauro, Nyamayao, Genekai Keren-Happuch, Lily Flower, Chetuntu, Wit, Mwita Maranya, Firstlady 1, na wote niliowasahau nawapenda sana
Karibu mwaya...ila kuna mtu umekosea jina lake hapo embu rekebisha asije akanuna...badala Uprotocol andika Uporoto!Alafu jifunze kugonga Thanks mapema... kuonyesha shukrani pale unapokubali/furahi/ridhika!Unapendwa pia!
Angalia hapo chini ya post yako kuna sehemu imeandikwa 'Edit post' au sijui topic..nenda hapo..badilisha alafu save!Asante lizzy, uporoto nadhani atanisamehe kwani bado sjajua jinsi ya kuedit, nitajifunza kugonga thanks usijali
We mbona hujamgongea wakati amekupa maujiko? Uchoyo tu!
Aisee umeona ehee!!!!Babu mnoko hafai popote...hata JeiEfu!
Karibu mwaya...ila kuna mtu umekosea jina lake hapo embu rekebisha asije akanuna...badala Uprotocol andika Uporoto!Alafu jifunze kugonga Thanks mapema... kuonyesha shukrani pale unapokubali/furahi/ridhika!Unapendwa pia!
We mbona hujamgongea wakati amekupa maujiko? Uchoyo tu!
Karibu jamvini....uone nguvu za kiibodi....
Usisahau michango yako ni thamani pia....twende kazi...
Yani akiendelea namwombea ban!Aisee umeona ehee!!!!
Embu niambie ameshagonga ngapi kabla sijajiandaa kwa mafunzo ya binafsi!Ajifunzie kwangu basi, wewe uko mobile hauoni hata hiyo senksi
Tena LIFE BANYani akiendelea namwombea ban!