Wanajamvi walio mijini

Wanajamvi walio mijini

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
1,066
Reaction score
454
Natafuta simu aina ya nokia E7. Kwa wale wanaofahamu wapi (tz tu) naweza kupata simu hii wanijuze. picha inaambatanishwa. Am waiting to hear from u soon.
 

Attachments

  • nokia_e7_dark_grey_vertical_left_755x512.png
    nokia_e7_dark_grey_vertical_left_755x512.png
    84.1 KB · Views: 46
nenda sapna pale la lakin tisa yako utaipata na risit juu. Au kama unataka ya wizi njoo njoo pembeni
 
Mjini wapi sasa.
Mi nipo mjini mpwapwa. Vipi naqualify hyo kazi?
 
Duka lolote ambalo ni wakala wa Midcom, wanakotoa waranty ya miezi 12, uhakika!
 
Back
Top Bottom