Wanajamvi nimetokewa na kitu kama jipu kwenye shavu but halijawahi kuiva hata siku moja.

Erick Kas

Member
Feb 13, 2017
20
1
Nimeotwa na uvimbe kama jipu shavuni!! Lakini cha ajabu ni kwamba halijawahi kuiva hata siku moja. Naomba msaada tatizo litakuwa ni nini.?
 
Back
Top Bottom