Wanajamii naombeni ushauri

Wanajamii naombeni ushauri

Nimemaliza form four ila matokeo yangu siyo mazuri sana physics C chem D math D biology C plani yangu ni ilikua kusoma PCM na kuja kusomea computer engeenering ila naona matokeo hayajaja vizuri mnanishauliji wana jamii niende private kusoma hii combination au nipige ata college nayo ipo cool in computer engeenering ahsanteni sana naomba kiwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezo wako mdogo kwenye science, fanya kitu unachokiweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unajiamini nenda alevel kapige pcm ila kama una wasiwasi wa kuteleza tena ni vema uende chuo ila ukakahakikishe unapata gpa kubwa ili utapotaka kwenda degree isiwe shida


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama unajiamini nenda alevel kapige pcm ila kama una wasiwasi wa kuteleza tena ni vema uende chuo ila ukakahakikishe unapata gpa kubwa ili utapotaka kwenda degree isiwe shida


Sent from my iPhone using JamiiForums
Naomba kuuliza eti utofauti wake ni upi kwenye coz ya computer science kwa mtu aliye enda adi A level na anaye soma kupitia college

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom