Wanaingia Ulaya kwa nguvu!

Ha ha ha! Usiyempenda kaja bila hata kukaribishwa. Halafu naona mwarabu katinga jeans la kimarekani kaamua kuachana na "magauni" na zile kanga zao za vichwani.
 
Hao watu ni janga ambalo, kwa ulaya lazima lita wacost wana siasa waliopo madarakani, na lita amsha hisia za chuki, kwa kuwa hawa jamaa wakifika sehem wana wabadilisha ninyi wao hawabadiliki. Pia wakifika visa na mikasa huwa haiishi.
 
Wazungu acha wapate mrejesho wa kile wao walikitafuta.Siwapendi sana watu hao!Wao hutaka kutatua jambo bila kutambua asalizo.Shauli yako.
 
Ha ha ha! Usiyempenda kaja bila hata kukaribishwa. Halafu naona mwarabu katinga jeans la kimarekani kaamua kuachana na "magauni" na zile kanga zao za vichwani.
islamization of europe and America
 
Sayansi haidanganyi, hiyo ni reaction ya actions of discrimination of human rights!
 
Ni kiashiria cha dalili za kuporomoka kwa mataifa ya ulaya na Marekani na China kutake over kama new world super power.....
Ni ukweli ambao wengi hawapendi kuusikia lakini hili jambo lipo njiani kuja......

Mwenye macho na atazame na sio kuangalia.....
 
Safi sana wakifika huko wazaane kwa fujo wawe wengi waanze kuwashughulikia wazungu mpaka na wenyewe wawe wakimbizi kwenye nchi zao
 
Wewe kweli POYOYO ! na wale wa magharibi wanaiongia Middle East kwa mitutu na kuua wananchi wasio na hatia! kuwabomolea miundo mbinu yano! kuwaua ma Rais wao shupavu kama Ghadafi, Saddam Hussein na wengine na sasa hivi wanamuwinda BAshar Al Asad ! huwaoni ???

Acha kufikiri kwa Nywele kabla ya hapo hao unaowaita leo wahamiaji haramu walikuwa wakiishi vipi kabla ya kuvamiwa na hao maharamia!

Akili zako nna wasiwasi nazo! inaelekea unafikiria umbali wa Cm chache sana kutoka kwenye macho yako!
 
Hii muvi tamu sana, ngoja niagize popcorn mapeema
 
Hao watu ni janga ambalo, kwa ulaya lazima lita wacost wana siasa waliopo madarakani, na lita amsha hisia za chuki, kwa kuwa hawa jamaa wakifika sehem wana wabadilisha ninyi wao hawabadiliki. Pia wakifika visa na mikasa huwa haiishi.
warudi tu kwao besides kufikia 2050 95% ya europe population itakuwa islam
 
warudi tu kwao besides kufikia 2050 95% ya europe population itakuwa islam
Hahahah
Wana sema london jina linako shika kasi kwa watoto ni mohammad
Sasa uingereza mkristo atabaki Malkia na family yake tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…