Wanahitajika wasichana wa kazi za ndani

Wanahitajika wasichana wa kazi za ndani

FLAVOR

Senior Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
138
Reaction score
49
Wasichana wa kazi za ndani wanahitajika. Hivyo ukisoma tangazo hili na unamfahamu dada anayetafuta kazi hapo mkoani mjulishe. Wawe wanaweza kukaa kwa waajiri

Umri kuanzia miaka 20. Mawasiliano 0719206920 na 0683157704.

Dar es salaam.

Maelezo zaidi piga simu hapo juu.
 
Tangazo lako halijajitosheleza..kwanza wee upo mkoa gani?
 
Miaka 20? we utakuwa unatafuta wake kwa uzembe wako wa kutongoza

Kijana acha kutoa comment kwenye mada ambazo hazikuhusu. Siyo kila uzi ukiuona unatoa comment. Utukie akili. Wewe ndiyo wale mnaorudisha nyuma maendeleo. Hapa ukiona comment ambazo zinakuhusu na hazihitaji comment nyamaza. Pita. Ama una muda wa kupoteza. Tafuta kazi na uwe productive. Ndoroooobo
 
Tangazo lako halijajitosheleza..kwanza wee upo mkoa gani?

Mimi niko Dar es salaam. Nijulishe mkoa ulipo kwa sms tuongee. Si lazima tangazo la kazi litoe maelezo yoote kama una interest ama unamtagutia mtu simu hiyo hapo. Ndo maana ya simu.
 
Miaka 20 hachukui muda atapigiwa simu na mchumba wake kijijini na atakuaga anakwenda kuolewa
 
Siyo kila msichana atafanya kama wewe ulivyofanya ukiwa na miaka ishirini. Tunatoa fursa na fursa ni kuanzia miaka ishirini. Siyo under age.
 
Naona umekuja na hasira si mchezo (unajaribu kuhitimishia kwangu) fine mtizamo wako tu. Ila ni mawazo yangu. Iko hivi. Suala la msichana huwa tunachukua msichana mwenye uwezo wa kufanya kazi na ambaye hana kizuizi chochote mfano: elimu (anasoma) nk:-

Si kwamba kusema 20 atakaa muda mfupi na kwenda kuolewa - ndio nilihitimisha wote wako hivyo, (nashukuru unalifahamu hili) nilijaribu kukuandikia vile ili uchuje huko zaidi na maamuzi ni yako wewe, - nimeona jinsi rika la wasichana kuanzia 20 wanasumbua ndani ya muda mfupi sana, wengi huwa tayari wamekuwa na hivyo husumbua kwa namna fulani (sio wote)

Kama utachukua binti kuanzia miaka 15 au 16 ambaye hana kizuizi na hana jinsi kutokana na hali ya maisha yao ilivyo na yeye mwenyewe pamoja na wazazi/walezi wake wameridhia kwa kiasi ni afadhali (japo si wote) wengi tu rika hili hawana heshima nk;- Ila kuanzia miaka 15 au 16 unaweza nenda nae hadi akifika 20, 21 na kuendelea atakufikisha mahala na yeye kama anazo akili kichwani ataelewa zaidi......!

Tulikaa na binti kwetu tangu akiwa na 16 ameondoka mwaka juzi akiwa na 22 na ametambua anahitaji maisha yake. Kusema haya simaanishi ubadili mawazo yako kila lakheri na upate mabinti wema
 
Naona umekuja na hasira si mchezo (unajaribu kuhitimishia kwangu) fine mtizamo wako tu. Ila ni mawazo yangu. Iko hivi. Suala la msichana huwa tunachukua msichana mwenye uwezo wa kufanya kazi na ambaye hana kizuizi chochote mfano: elimu (anasoma)
Si kwamba kusema 20 atakaa muda mfupi na kwenda kuolewa - ndio nilihitimisha wote wako hivyo, (nashukuru unalifahamu hili) nilijaribu kukuandikia vile ili uchuje huko zaidi na maamuzi ni yako wewe, - nimeona jinsi rika la wasichana kuanzia 20 wanasumbua ndani ya muda mfupi sana, wengi huwa tayari wamekuwa na hivyo husumbua kwa namna fulani (sio wote)

Kama utachukua binti kuanzia miaka 15 au 16 ambaye hana kizuizi na hana jinsi kutokana na hali ya maisha yao ilivyo na yeye mwenyewe pamoja na wazazi/walezi wake wameridhia kwa kiasi ni afadhali (japo si wote) wengi tu rika hili hawana heshima nk;- Ila kuanzia miaka 15 au 16 unaweza nenda nae hadi akifika 20, 21 na kuendelea atakufikisha mahala na yeye kama anazo akili kichwani ataelewa zaidi......!

Tulikaa na binti kwetu tangu akiwa na 16 ameondoka mwaka juzi akiwa na 22 na ametambua anahitaji maisha yake. Kusema haya simaanishi ubadili mawazo yako kila lakheri na upate mabinti wema

Wala si hasira. Samahani. Si unajua siku hizi jf imevamiwa na vijana wa sekondari na watu wapo wa kila namna. Sasa ukiweka nyuzi lazima upate kadhaa ambao watakejeli, lazima hata mmoja kama huyo hapo juu ambaye hajui kama mimi uncle wake. Hata kama uzi ilikuwa muhimu vipi. Tofauti kabisa na forum za wenzetu. Ndiyo maana na mimi nikawa nayarusha tu.

Je wale wenye above 18 lakini ana mtoto huko kwao si huwa wanajua maisha sana. Naonaga 15 na 16 ni vitoto mno na wanasukuuuumwaaa
 
No kuanzia 16 wapo wanajielewa vizuri sana, cha msingi ni kumwambia mtu anayekutafutia atafute mtu mzuri anayejua kazi, sio mvivu, heshima, uaminifu, yani kwa ufupi mtu anayemjua vizuri. Hao waliolewa na kuachika, au kuzaa na kutelekezwa, wanajua maisha na hasa malezi kwa watoto na wapo vizuri, nina mjua mmoja yupo kwa ndugu yangu, ila ukimpata jitahid uwe mwema kwake si unajua ameacha mtoto huko. Ila kitu kikubwa cha msingi ni kumwambia mtu akutafutie msichana anayemfahamu vizuri.
 
Tulipata dada wa kazi,nashkuru sana JF. Na ana mwezi sasa na anaendelea vizuri. Mimi niko mbali na home lakini naambiwa yuko sawa. Kuna dada yangu naye anatafuta msichana so JF asante
 
Wasichana wa kazi za ndani wanahitajika. Hivyo ukisoma tangazo hili na unamfahamu dada anayetafuta kazi hapo mkoani mjulishe. Wawe wanaweza kukaa kwa waajiri

Umri kuanzia miaka 20. Mawasiliano 0719206920 na 0683157704.

Dar es salaam.

Maelezo zaidi piga simu hapo juu.
nipo tayari tuwasiliane 0764218643
 
Wasichana wa kazi za ndani wanahitajika. Hivyo ukisoma tangazo hili na unamfahamu dada anayetafuta kazi hapo mkoani mjulishe. Wawe wanaweza kukaa kwa waajiri

Umri kuanzia miaka 20. Mawasiliano 0719206920 na 0683157704.

Dar es salaam.

Maelezo zaidi piga simu hapo juu.
Uliwapata wasichana
.. mana nina binamu yangu anahitaji
 
Back
Top Bottom