Wanahitajika walimu wa Tehama ICT

Wanahitajika walimu wa Tehama ICT

Unata SANDUKU la Posta...?
Maswali yapo matatu mkuu... yapitie yote.
Lakini pia hata official email inamuadress anayetumiwa na nafasi yake kwenye taasisi husika, neno address ni pana kodogo (Sio lazima sanduku la posta)

Nauliza kwa lengo kuandaa taarifa ninazotuma ziwe in a professional way, naamini sija ku offend kwa hayo maswali.
 
akijibu nitagi
ukuona unaambiwa utume kwenda ....@gmail.com... mguu nje mguu ndani
 
Maswali yapo matatu mkuu... yapitie yote.
Lakini pia hata official email inamuadress anayetumiwa na nafasi yake kwenye taasisi husika, neno address ni pana kodogo (Sio lazima sanduku la posta)

Nauliza kwa lengo kuandaa taarifa ninazotuma ziwe in a professional way, naamini sija ku offend kwa hayo maswali.
nadhani ukisoma tangazo limejieleza mkuu....rudia kusoma tangazo hata mara 3 kisha uliza tena swali lako....
 
Yanini nisome tangazo mara tatu kutafuta jbu ambalo halipo akat wewe unaweza kureply mara moja tuu tukaokoa muda. Ok basi fanya kwa kunisaidia mini tuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom