Wanahitajika walimu wa Tehama ICT

Wanahitajika walimu wa Tehama ICT

Ningekutajia ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu...siwezi kuitaja hiyo shule ila mwambie aombe pengine anaweza kuitwa kwenye usaili akapafahamu. Ila si shule mpya ni ya zamani na ni kubwa tu.!
????
 
Nonsense! Nendeni mkatapeliwe.
 
Akili yako ndipo ilipofikia. Kwakuwa wewe ni tapeli namba 1.
Asante tapeli mwenzangu! Watakuja watu waombe ajira kwenye taasisi isiyotaka kujulikana, nadhani na maslahi yatakua hayajulikani pia. Hakuna mtu mwenye taasisi ya kutoa elimu km shule anaetaka shule yake isijulikane, naona leo kwa mara ya kwanza.
 
uelewa wako ni mdog....wapo watu ambao wamesha tuma maombi wataleta mrejesho...nafasi yenyewe ni TEHAMA ulitaka tutangaze shule ili rundo la watafuta ajira lijazane shuleni...?
 
U can't be serious man! Jitafakari pamoja na uongozi wenu kwa ujumla.
 
hajashikwa mtu mkono vile vile sio laZima...unaweza ukaacha tu boss
Mkuu me nimechagua kukuamini na ninataka kutuma maombi ila naomba nieleweshe hivi vichache hapa.
1. Kwenye shule hiyo wewe ni nani?
2. Nikituma maombi kwako unayachakata
wewe mwenyewe?
3. Naandikaje barua sijui anuani ya
ninakotuma? (Au barua sio muhmu?)
 
U can't be serious man! Jitafakari pamoja na uongozi wenu kwa ujumla.
walio serius wameshatuma na baadhi wameshaelekezwa cha kufanya...wewe mwenye uelewa fungua taasisi yako ufanye unachoona kinafaa
 
Mkuu me nimechagua kukuamini na ninataka kutuma maombi ila naomba nieleweshe hivi vichache hapa.
1. Kwenye shule hiyo wewe ni nani?
2. Nikituma maombi kwako unayachakata
wewe mwenyewe?
3. Naandikaje barua sijui anuani ya
ninakotuma? (Au barua sio muhmu?)
UnataKa SANDUKU la Posta...?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom