Wanahitajika walimu wa Tehama ICT

Wanahitajika walimu wa Tehama ICT

kuna shule ambayo ina matawi yake sehemu mbali mbali hapa nchini inawatangazia watanzania wenye sifa ya kufundisha somo la tehama (ICT) shule ya sekondari na msingi wenye elimu ya certificate ama diploma.
Nafasi ya ajira kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Utapata mshahara mnono.
Sehemu ya kuishi na usafiri kutoka nyumbani kwenda kazini.
sehemu ya kazi ni Dar es salaam

Tuma cv, vyeti pamoja na transcript.... kwenye email eddymhando25@gmail.com vyote viwe kwenye mfumo wa Pdf.
Wenye ufaulu mzuri watapewa kipaumbele, wachache wataitwa kwenye usaili.
Hapatakuwa na gharama za kujikimu kwa watakao fika kwenye usaili.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 1/11/2018

Mungu awabariki sana
Asee ni shule za msingi zipi sasa emu fafanua vizur
 
Tuliosoma ICT o level tukafaulu vizuri hatuitajiki ?
 
Shule i(zi)naitwaje? Na iko/ziko sehemu gani hapo Dar?
Naomba majibu tafadhali, kuna mtu ananiulizia.
 
Ningekutajia ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu...siwezi kuitaja hiyo shule ila mwambie aombe pengine anaweza kuitwa kwenye usaili akapafahamu. Ila si shule mpya ni ya zamani na ni kubwa tu.!
 
Sina hakika kwanini unaogopa kutaja jina la shule!?? Hiyo ajira ni "dili"?

Ila asante kwa tangazo ngoja tuone
 
Hakuna dili ndugu, yangu wenye shule wametaka mambo yawe hivyo kutokana na nafasi husika ya ajira....ama kupunguza msongamano wa watu wenye lengo moja offisini...kama unavyo vigezo tuma maombi ukibahatika utaitwa kwenye usaili ukishinda utapata kazi hakuna malipo yoyote utakayotoa ili kupata kazi hiyo.
 
Sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom