imma.one
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 542
- 37
Teachers' Junction.
Wanaojihusha na kuunganisha walimu na shule kwa mikoa ya Dar es salaaam,Morogoro na Arusha.
Wanatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya kuongeza nguvu timu ya mauzo.
Majukumu:
kutembelelea shule na kutafuta nafasi za walimu.
Malipo:
Anaweza kulipwa kwa commision au salary base.
Mawasiliano:
0753-810857
0655-586906
ofisi:
magomeni mapipa Dar es salaam.
Mtaa wa dosi.
Tembelea:
www.facebook.com/teacher'sjunction.
Unaweza ku-like facebook page yetu na kuuliza maswali au chochote unachotaka kujua.
Au
www.https://jamii.app/JFUserGuide.blogspot.com.
Mahitaji:
1.cheti cha kidato cha nne au cha sita.
2.barua ya maombi.
3.picha ndogo 3.
Wote mnakaribishwa.
Tunapokea maombi kuanzia tarehe 11/03/-14/03/2013.
Interview na training ni tarehe 15 na16 mwezi wa tatu mwaka huu.
Interview na training zitafanyika Dar es salaam