African American Senior Member Joined Feb 6, 2012 Posts 165 Reaction score 62 Feb 9, 2012 #1 Kufuatitia maandamano ya amani yaliyofanywa na wanaharakati jana, leo polisi wamewatia mbaroni baadhi ya viongozi akiwemo Ananilea Nkya kwa madai kwamba walifanya maandamano bila kibali. Mwenye taarifa zaidi atujuze wandugu.
Kufuatitia maandamano ya amani yaliyofanywa na wanaharakati jana, leo polisi wamewatia mbaroni baadhi ya viongozi akiwemo Ananilea Nkya kwa madai kwamba walifanya maandamano bila kibali. Mwenye taarifa zaidi atujuze wandugu.
Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member Joined Dec 6, 2006 Posts 3,019 Reaction score 580 Feb 9, 2012 #2 Sasa unauliza swali, au unaleta malezo? Mi sijakuelewa.
satellite JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 616 Reaction score 170 Feb 10, 2012 #3 wanaacha kuwakamata mafisadi wanawakamata wanaharakati kweli polisi wamekosa kazi?