Mimi naogopa kusema NAOMBA TV IMAAN IWEPO HEWANIMtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini, umetoa tamko kwa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete, kuagiza watendaji wake kulifungulia gazeti la Mwanahalisi.
Tamko hilo lilitolewa na Mwenyekiti wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRD), Marcos Albanie, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, jana jijini Dar es Salaam.
Albanie alisema tangu serikali itangaze kulifungia gazeti la wiki la Mwanahalisi ni jana siku 175 sawa na kipindi cha miezi mitano na siku 24, wadau wa habari na wananchi wamekuwa wakipaza sauti kuiomba serikali kulifungulia gazeti hilo lakini imekuwa kimya.
Aliongeza kufungiwa kwa gazeti hilo kulitokana na taarifa kuhusiana na kutekwa, kuteswa na kisha kutupwa katika msitu wa Mabwepande, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk. Stephen Ulimboka.
kila lenye mwanzo lina mwisho wake.ila naamini ipo siku hili gazi litarudi tena.huwezi kutawala kwa kukandamiza siku zote ipo siku Mungu atasema nao.
Mimi naogopa kusema NAOMBA TV IMAAN IWEPO HEWANI
kwani nayo imepigwa ban?
kila anayefanya uchochezi,kila chombo kinachofanya uchochezi,kila anaeshabikia hali hiyo wanatakiwa kupigwa ban bila huruma.
tanzania tuna polisi,na mahakama.kazi zao ziko wazi na wote twazifahamu.lakini pia tuna kitengo cha usalama wa taifa.je! unajua hawa jamaa kazi yao ni nini? je? unajua wanaripoti kwa nani? je! unajua ni namna gani wanavyofanya kazi zao (kuchukua hatua juu ya masuala mbali mbali wanayodhani yanawahusu ikiwemo ku manage yale wanayodhani yanahatarisha usalama wa taifa)unaelewa?je ungependa hawa jamaa wafanye kazi tofauti na wanavyofanya sasa? (ikiwa unajua wanavyofanya).kama ungependa iwe tofauti; unapendekeza wafanye je na kwa nini? au ungependa kitengo hiki kisiwepo kwa kuwa tuna polisi na jeshi?Tatizo kama mtu akiambiwa ukweli hapa Tanzania eti tunasema ni mchochezi.
Sasa mbona kwa nini msimshitaki Kubenea mahakamani ili athibitishe kuhusu RAMA????
Kwa nini mlifungie gazeti na kumwachia huru muhusika?????
Je, DCI manumba amefanya upeleelzi katika kuthibbitisha ukweli wa RAMA kuhusika, na nini matokeo yake??
UKIKAA KIMYAa MAANA YAKE NI MULONGO UNACHEZA MOVIe TU!!!!
!!
tanzania tuna polisi,na mahakama.kazi zao ziko wazi na wote twazifahamu.lakini pia tuna kitengo cha usalama wa taifa.je! unajua hawa jamaa kazi yao ni nini? je? unajua wanaripoti kwa nani? je! unajua ni namna gani wanavyofanya kazi zao (kuchukua hatua juu ya masuala mbali mbali wanayodhani yanawahusu ikiwemo ku manage yale wanayodhani yanahatarisha usalama wa taifa)unaelewa?je ungependa hawa jamaa wafanye kazi tofauti na wanavyofanya sasa? (ikiwa unajua wanavyofanya).kama ungependa iwe tofauti; unapendekeza wafanye je na kwa nini? au ungependa kitengo hiki kisiwepo kwa kuwa tuna polisi na jeshi?
ndugu umekwepa kujibu maswali yangu hapo juu na nafahamu vyema kwa nini umekwepa ila ngoja mimi nikujibu yako. Kimsingi,kubenea alikuwa ndiye mhariri wa gazeti kwa hiyo ni sahihi likishughulikiwa gazeti kwa mujibu wa sheria za vyombo vya habari.kesi ya mtikila na mwanahalisi ni vitu tofauti kabisa.kwa nini mchungaji mtikila alipotoa maneno ya uchochezi askari polisi waliwnda kupekua home kwake na kumfuatilia zaidi kuhusu tuhuma hizo.
Sasa kwa nini kubenea asishitakiwe na badala yake gazeti ndilo lishitakiwe???
Naomba nipe jibu hapa ndi[po nikuelewe.
Kama ni uchochezi aliyefanya anajulikana kwa nini hao polisi na usalama wa taifa wasichukue hatua kwa hili???
Mizambwa
inaniuma sana!!!
ndugu umekwepa kujibu maswali yangu hapo juu na nafahamu vyema kwa nini umekwepa ila ngoja mimi nikujibu yako. Kimsingi,kubenea alikuwa ndiye mhariri wa gazeti kwa hiyo ni sahihi likishughulikiwa gazeti kwa mujibu wa sheria za vyombo vya habari.kesi ya mtikila na mwanahalisi ni vitu tofauti kabisa.