Wanaharakati wa tanzania

denoo49

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
6,113
6,937
Habarini, za saa hizi wanajamvi wakuu mabibi kwa mabwana. Yapa takribani miezi kaadha sasa nakuwa nafuatilia baadhi ya midahalo na makongamano mbali mbali yanayokuwa yanaendeshwa hapa nchini. Kumekuwa na umbwe kubwa la baadhi ya Watanzania wenzangu kupenda kujiita "WANAHARAKATI" pale anapojitambulisha kabla ya kuchangia au kutoa hoja yake mbele ya hadhara. Napata wakati mgumu sana kujua kama wanajua misingi ya UANAHARAKATI wakati "UZALENDO" tu umegeuka kuwa mtihani ndani ya Mitima yetu. Je hii ni sifa ya kujivunia au ya ulimbukeni..?
 
Back
Top Bottom