Wanaharakati wa haki za binadamu Tanzania mmetia aibu na mmepoteza sifa!

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,710
149,949
Ni ajabu sana tangu zoezi la bomoabomoa lianze na watu kuathirika,wanaharakati hawa na Taasisi zao wameshindwa kutoa hata tamko la kuiomba serikali isitishe zoezi hilo ikiwa ni pamoja na kulaani kinachondelea!

Kwa ukimya huu,tambueni kuwa mmepoteza credibility kwani hata siku mkitetea wanaopigwa na polisi kwa kuandamana na mambo mengine, wananchi,hasa ma-CCM, yatawauliza mbona hamkuwahi kutetea waathirika wa bomoabomoa?

Viongozi wa hizi Taasisiz/vyama kama mpo mnapaswa kuwajibika tena kwa kujiuzulu mara moja.
 
Back
Top Bottom