Wanaharakati sheikh mponda sema tu nguvu za serilikali

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,783
9,102
Huyu sheikh mponda sawa na Tundu lissu kama wanavowekwa na nguvu za wababe kuwafanya waonekane tofauti na wanacho kifanya.

Sheikh mponda ni Moja aliyetaka kuonesha umuhimu wa waislamu na Mali zao.
Tundu lissu ni Moja aliyetaka kuonesha wananchi na Mali zao zilizopo Tanganyika.
Ila wote waligeuzwa kuwa vikundi walivojitungia wao serikali.

Serikali ya ccm kilichofanikiwa ni kutumia udini ndio njia Yao kuu pale ukiwa mueleza ukweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…