magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,337
Wanabodi,
Salaam,
Wazo la kutorushwa matangazo moja kwa moja,ni wazo la Nnape moses Nnauye kabla hata hajawa mbunge.
Kuna ushahidi usio na shaka tangu mwaka 2013 alikuwa akipost huo utumbo kwenye mitandao ya kijamii.
Nakumbuka aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya ndani wa serikali ya awamu ya tatu mh.Omary Ramadhan Mapuli. Waandishi wa habari walisusa kuandika habari zake mpaka leo. Huyo mzee mpaka leo sijui hata alipo. Nawashauri wanahabari wasusie kuandika habari za Nnape Nnauye kwa kuwa yeye ndo chanzo cha sisi kunyimwa haki.
Jukwaa la wahariri mmebaki kulalamika tu,lkn wakiwaita mnafika kabla hata ya muda. Acheni kuandika habari zake na wizara yake hadi hapo matangazo ya moja kwa moja yatakaporejeshwa.
Nawasilisha...