Wanafunzi wetu

OLEMELAMI

Member
Apr 18, 2012
6
0
KAMA NI KAZI WALIM TUNAYO INAKUWAJE MALIMU KUONGEA NA MWANAFUNZI KAMA WANALINGANA"MWANAFUNZI ANAULUZWA UNASABABU ZOZOTE ZA KUMJIBU MLINZI VIBAYA? JIBU ANALOTOA NI 'yes of COURSE' BANA NAONYESHA WATU HAWAPO AWARE NA MATOKEO YA UTOVU NIDHAM ! WALIMU TUWASIRIBE VIBOKO WATOTO MAZOEA YAMEZIDI!
KERO YANGU JAMAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kiboko sio njia nzuri ya kumfundisha mtoto wewe!!! kama kashazembewa na wazazi toka huko kwao yan hapo ni ngum...ila inapobid sio mbaya ila isiwe zaid na mkatufanyia watoto wawe masugu!!!
 
KAMA NI KAZI WALIM TUNAYO INAKUWAJE MALIMU KUONGEA NA MWANAFUNZI KAMA WANALINGANA"MWANAFUNZI ANAULUZWA UNASABABU ZOZOTE ZA KUMJIBU MLINZI VIBAYA? JIBU ANALOTOA NI 'yes of COURSE' BANA NAONYESHA WATU HAWAPO AWARE NA MATOKEO YA UTOVU NIDHAM ! WALIMU TUWASIRIBE VIBOKO WATOTO MAZOEA YAMEZIDI!
KERO YANGU JAMAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Chapa tena sana co siri wanafunzi wa siku hizi hawana adabu hasa wa shule za kata, binti anaamkia kwa mwanaume anakuja darasani halaf hana kitu kichwani mweee
 
KAMA NI KAZI WALIM TUNAYO INAKUWAJE MALIMU KUONGEA NA MWANAFUNZI KAMA WANALINGANA"MWANAFUNZI ANAULUZWA UNASABABU ZOZOTE ZA KUMJIBU MLINZI VIBAYA? JIBU ANALOTOA NI 'yes of COURSE' BANA NAONYESHA WATU HAWAPO AWARE NA MATOKEO YA UTOVU NIDHAM ! WALIMU TUWASIRIBE VIBOKO WATOTO MAZOEA YAMEZIDI!
KERO YANGU JAMAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kiboko ni muhimu sana kwa hii mitoto ya siku hizi,hizi wanazoita haki za watoto zimeharibu sana hiki kizazi,mkuu hakuna kulegeza ni kiboko mtindo mmoja.
 
viboko sikushauri mpige adhabu ambayo unahisi atakaa aikumbuke ila viboko husaaulika pale maumivu yanapoisha
 
Hayo ni matokeo ya wanasiasa ku-dominate katika elimu. Kwa maoni yangu, ninaona viboko bado vinatakiwa kwa mazingira ya wanafunziu wetu wa Tanzania. Niinaamini, mashirika mengi yasiyo ya kiserikali (NGOs) yanayoshughulika na elimu(ikiwa ni pamoja na kukampeni matumizi ya viboko yasitishwe na zitumike adhabu mbadala) yanaendeshwa kwa miongozo ya wafadhili wao wa nje ambao mazingira ya kwao(namna ya maisha kwa ujumla) ni tofauti kabisa na kwetu. Watawala wetu(wanasiasa) wamekuwa wakipokea kila maelekezo kutoka kwa wafadhili bila kujali kama yana-apply au haya-apply kwenye mazingira yetu. Cha msingi mimi ninachoona ni kwamba viboko bado vina tija kwa mazingira yetu cha msingi walimu kuelekezwa namna na maeneo salama ya kumchapa mwanafunzi , pia kuepuka matumizi ya adhabu hii mwalimu anapokuwa na hasira ili kuepuka madhara . Mimi ninaposoma nilikuwa nikiogopa sana makora na nilipenda adhabu za nje.Pia adhabu za nje ni adhabu kwa mwalimu pia kwani atatakiwa kusimamia kuhakikisha adhabu husika inakamilishwa katika mazingira salama kwa mwanafunzi.
 
Hawa watoto wanaobalehe bila adhabu, hususani ya fimbo, hakuna Taifa litakachovuna.
Kama si fimbo wengi wa wanafunzi watakimbilia vijiweni. Fimbo muhimu sana...
 
Back
Top Bottom