Wanafunzi wawa trafic

Luushu

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
812
468
Leo kwenye kivuko cha wenda kwa miguu barabara ya Kawawa maeneo ya moroko na kanisani kuna wanafunzi wameshika vibango wanasimamisha magari watu wavuke
 
Leo kwenye kivuko cha wenda kwa miguu barabara ya Kawawa maeneo ya moroko na kanisani kuna wanafunzi wameshika vibango wanasimamisha magari watu wavuke

wanafanya elimu kwa vitendo kwa kuwa wengi wa waendesha magari hawaeshimu uwepo wa vivuko
 
mimi nilichoona na kugundua ni kuwa madereva wa hapa Tanzania hawawaheshimu kabisa waenda kwa miguu .wana roho mbaya sana tena sana maana akikuona upo kwenye zebra ndio anaongeza speed ili akukute akugonge. Its shame
 
....Imetokea hapo Morocco leo, gari ndogo rangi ya ugoro (aina inaelekeana na vista) haikuheshimu kibao cha simama kilichokuwa kimeshikwa na mwanafunzi, dereva alimpita na akakatiza kituo cha mafuta kufuata njia ya Mwenge.
Japo hakumgonga mwongozaji, inadhihirisha ni namna gani wengi wa madereva hapa bongo hawaheshimu watumiaji wengine wa barabara.
 
Mkuu thread inaongelea Morocco na sio Morogoro.

Naye anatoa experience yake ya Mororogoro karibu na shule ya msingi Msanvu. Hiyo ni project iliyoanzishwa na jeshi la polisi baada ya kugundua kwamba wanafunzi wanagongwa mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom