Wanafunzi wanaoendelea na masomo walioomba mkopo

Beca jr

Member
Joined
Oct 13, 2019
Posts
7
Reaction score
6
Habari,

Nilikua naomba kuuliza, hivi ni lazima kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo ambao wameomba mkopo kupeleka majina yao chuo ili waweze kutumiwa matokeo yao bodi ya mkopo?

Na kama mtu hajatuma matokeo yake anaweza kupata huo mkopo?
 
Aisee minaingia mwaka wa pill na nmeomba mkopo lakini apa cjaelewa naomba mnieleweshe
 
Hao ni continuing ambao mwaka jana hawakubahatika kupata mkopo. Kwa continuing ambao walipata mkopo hawaombi tena bodi inawapangia tuu usijari kijana maana umeshaanza kuogopa..
Minaingia mwaka wa pili mwaka jana cjapata ndo nmeomba tena apa nasubiri ndomana nkasema bandiko lako kama linanihusu ingawa cjalielewa
 
Aisee minaingia mwaka wa pill na nmeomba mkopo lakini apa cjaelewa naomba mnieleweshe
Suala la matokeo yako ww kutumwa bodi chuo hutumiwa maombi ya wanafunzi wote ambao bodi ya mkopo inahitaji kujua matokeo yao ikiwemo na ww ambae umeomba mkopo mwaka huo rasmi na wakakupa so hauhitaji kutuma physically ww kama mwanafunzi!
Na kama umepata sup jina lako litachelewa kutumwa! Na kama unasubilia batch jina lako litatoka batch za mwishoni huwa hasa za continues
So toa wasi wasi
 
Hebu kuna continue aliyepata mkopo katika batch tatu zilizotolewa mpk sasa??
Hizi batch zinqzotoka saivi huwa ni za first year tu!
Batch za mwisho hutumwa chuoni huwa ni continuing students wengi! Toa presha utapata tu mkopo,
Safari hii wamegawa kiasi kikubwa tofauti na miaka ya nyuma nakushauri andaa kiasi Fran mana hawa jamaa wanaweza kukupa pesa ya boom tu!
 
Bora ndg yangu hata umetoa maneno ya faraja maana ilikua ni hatari sana
 
Kama umeomba mkopo ikiwa wewe ni Continuing student katika zile karatasi ulizojaza ambazo unapeleka posta kutuma Unatoa copy front page then unaandika Registration number yako unayotumia chuo halafu unamkabidhi Loan officer wa Chuo chako_ Yeye ataprint matokeo yako na Kuyapeleka Bodi_ Ni lazima Loan officer apate taarifa ya Uombaji mkopo wako ili aweze kuwasiliana na Bodi_ Kama hujafanya hivyo jitahidi ufanye sasa maana uchambuzi unaendelea bado
Aisee minaingia mwaka wa pill na nmeomba mkopo lakini apa cjaelewa naomba mnieleweshe
 
Kwahiyo Continuing Student taarifa wanazipata kwenye Akaunti zao au Wanasubiri majina yaje Chuo yabandikwe kwenye Notice Board?
Hizi batch zinqzotoka saivi huwa ni za first year tu!
Batch za mwisho hutumwa chuoni huwa ni continuing students wengi! Toa presha utapata tu mkopo,
Safari hii wamegawa kiasi kikubwa tofauti na miaka ya nyuma nakushauri andaa kiasi Fran mana hawa jamaa wanaweza kukupa pesa ya boom tu!
 
Kwahiyo Continuing Student taarifa wanazipata kwenye Akaunti zao au Wanasubiri majina yaje Chuo yabandikwe kwenye Notice Board?
Majija yatatumwa chuoni, na kama upo chuo itakua virahisi maana yatatumwa kwa softcopy kwa ma grpup yenu ya whasatp ya darasani pia ikiwemo na allocation uliyopewa
 
Sawa Mkuu Shukrani kwa Muongozo
Majija yatatumwa chuoni, na kama upo chuo itakua virahisi maana yatatumwa kwa softcopy kwa ma grpup yenu ya whasatp ya darasani pia ikiwemo na allocation uliyopewa
 
Wakuu awamu zote za kutoa mikopo zimekwisha si muda mrefu litafunguliwa dirisha la rufaa sasa cha kushangaza zaidi hakuna continuing yyote ambaye amepata huo mkopo.kwanini waliruhusu watu waombe ilhali wanajua kua watawanyima?
 
Umejuaje kama awamu zote zimekwisha? Half Continuing uchambuzi wao ni tofauti na Hizi zinazoendelea za First year_ Uchambuzi wao mara nyingi unachelewa hata majina mara nyingi huchelewa kufika chuoni_
 
Unapoambiwa kuwa watu wakate rufaa hakuna batches zingine unaelewa vipi hapo mkuu si ina maana hakuna atakayepata.sasa Cha kushangaza ndio hicho hakuna continuing ambaye amepata.ni vema Sana wasingeruhusu watu waombe
 
ninavyofahamu kuhusu hawo continuing ni kwamba huwezi pangiwa mkopo mpaka matokeo yako yapelekwe board ya mikopo , wajiridhishe kuwa ni kweli umefaulu na unaendelea na masomo, pili pia uwe umekidhi hivyo vigezo vyao kama board ya mikopo wanavyo jinadi, tatu majina yao pia huwa yanachelewaga kutoka, ninawenzangu wawil walipata mkopo karibia week ya 8 baada ya kifungua chuo..nakumbuka wakat tunapewa hela yetu ya round two wao waliingiziwa double.
 
Back
Top Bottom