Ngao ya Sponji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2018
- 341
- 544
Hata mm naelewa hivi Mkuu_ninavyofahamu kuhusu hawo continuing ni kwamba huwezi pangiwa mkopo mpaka matokeo yako yapelekwe board ya mikopo , wajiridhishe kuwa ni kweli umefaulu na unaendelea na masomo, pili pia uwe umekidhi hivyo vigezo vyao kama board ya mikopo wanavyo jinadi, tatu majina yao pia huwa yanachelewaga kutoka, ninawenzangu wawil walipata mkopo karibia week ya 8 baada ya kifungua chuo..nakumbuka wakat tunapewa hela yetu ya round two wao waliingiziwa double.