lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Wanafunzi wa tanzania wanafundisha uongo sana darasani,wanafunzi wetu wanafundisha kuna mihimili mitatu ya dola je ni kweli kuna
mihimili mitatu ya dola?
Serekali
Bunge
mahakama
Swali ni je hii mihimili ni kweli ni mihimili mitatu inayojitegemea? Au ni majina tu ya hii mihimili? serekali,bunge na mahakama?
Ukweli ni kuwa hii mihimili kwa maoni yaliyowengi wanafunzia na wananchi tunadanya kuwa ni mihimili mitatu tofauti,sababu za kusema hivyo tunazo
(1) Sababu ya kwanza ni namna ya kuwapata majaji wetu
(2)Sababu ya pili mawaziri ni wabunge,pia spika ni mwana ccm
(3)Sababu ya tatu ni vyombo vyingine vya serekali jinsi vinavyoudwa,haviko huru kabisa
Swali ni je kwanini tusiwafundishe watoto wetu ukweli?