Wanafunzi wamtesa konda.

Wanafunzi wamtesa konda.

anin-gift

Senior Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
168
Reaction score
73
Usiku mmoja konda alikuwa amelala, ghafla mdogo wake akaamka na kwenda chooni, alivyorudi ile anafunua neti tu, konda akamzuia na kumwambia wanafunzi wanatosha..
 
Hahaha!ha! Kudadeki konda noma hadi kitandani anajua anapakia wanafunzi..
 
Back
Top Bottom