Wanafunzi walipaswa kusoma vitabu vya Mo Dewji, Ghalib Said, Bakhresa na Mengi

We jamaa unajua.
Soma Education for self reliance by Mwalimu utapata madini zaidi
 
Lakini vilevile hili la kuamini kila aliyefanikiwa ni mshirikina ni umbumbu ulio kwenye kiza kinene,ajabu anayetuhumu ndiye hujiona yuko sahihi kwenye mafanikio yake.
 
Kama tunavyoona wawekezaji kutoka nje wanakuja kuwekeza huku; je wangapi wa huku wameenda kuwekeza nje?
 
🙆
 
Huku kwetu bila kuwa muumini mzuri au mtu wa ndumba kutajirika sahau maana utapigwa chuma ulete mpaka uchakae
Na hiki ndicho kitu ambacho wengi waliokipuuza kimewaadhibu, utasikia mbona MO na Bakharesa hawatumii ndumba, swali ni kwamba unawajua, au umeruhusu akili yako kukubali yale unayofunuliwa tu?
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…