Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 953
- 413
kwen walivyokuwa wakiunga mstari kupiga kura walijua nifolen ya kuingia class ama HAPA KAZI TU
Mbona taarifa zinasema, UDOM wanafungua chuo November 21!
Hebu fafanua
tarehe 21 ni kwa mwaka wa 2, 3, & 4 ila kwa first year wotee ni leo tareh 14Mbona taarifa zinasema, UDOM wanafungua chuo November 21!
Hebu fafanua
tarehe 21 ni kwa mwaka wa 2, 3, & 4 ila kwa first year wotee ni leo tareh 14
habari zenu wakuuu,,,,
inasikitisha saana kuona watoto wanafika chuoni na kukataliwa kuwa hawatambuliki, hii ni baada ya wanafunzi waliochaguliwa kupitia nacte kutokutambulika na uongozi wa chuo kikuu dodoma.
nauliza ni kwanini nacte mnawatesa watoto kiasi hiki kwakutopeleka majina chuoni leoo hii wanataka kuandamana katika ofisi zenu kuja dar,
mheshimiwa raisi dk magufuli naomba uangaliee hili swala kwa umakini maana watoto wameshakata tamaa kabisaaa, nina imani mtawaskiliza kilio chao na haki zao wapatiwe.
kazi njema,.
ndo uwezo wako wakufikiri ulipo ishia,,,sham on yu
nacte ndo wazogoaji.... mudaa wootee siku zimedogezwa mbelee kushughulikiaaa, michakato walaaa wenyewe kusoma magazeti ofisini tu, mheshiwa naomba utembelee ofisi zaoHahahaaa, hebu acheni hizo. Inasikitisha kiukweli...kama walikuwa na muda wao wa kuripoti wangetaarifiwa... Nani tumlaumu? NACTE au UDOM....
Mbona taarifa zinasema, UDOM wanafungua chuo November 21!
Hebu fafanua
Kwani hawakupewa admission letter?
nov 21 ni kwa continous students,
Mkuu bora ungeandika tu kwa kiswahili,
hivi siku hizi vijana mna andika nini...?
kuna mwingine naye nilimsikia juzi kwenye
taarifa ya habari akisema kama ulivyoandika
pale ofisi za HESLB maeneo ya mpakani.
yaani nilichoka kweli kweli , yaani msomi
wa chuo kikuu una jiita kuwa wewe ni "continous student"
shame on u.
kwa alieuliza swali ameelewa na amejua, ila kwa punguani kama wewe unakalia kukosoa ujinga tu, No one is perfect sawa sawaaaa???