Spark
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 1,001
- 1,024
Wakuu nimejaribu mara kadhaa kuwa na mahusiano na hawa wadada zetu wa vyuo. Mnapoanzana anajifanya matawi ila mkizoeana matatizo huanza; wanapiga mizinga ya ajabu.
Kama hauko timamu kichwani waweza vaa nguo za viraka mwaka mzima! Sijui tongozo siku hizi ni kazi cha ajabu unaweza hudumia halafu wenzio wanaramba!
Sitokaa niwaamini hawa viumbe kabisa yaani ni mwendo wa kuviziana, hit and run! Atakayemuwahi mwenzake ndo mshindi!!
Jamani tumechoka mizingaaaaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app