Wanafunzi wa vyuon nao n janga jingine!

Spark

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
1,001
1,024
Wakuu nimejaribu mara kadhaa kuwa na mahusiano na hawa wadada zetu wa vyuo. Mnapoanzana anajifanya matawi ila mkizoeana matatizo huanza; wanapiga mizinga ya ajabu.

Kama hauko timamu kichwani waweza vaa nguo za viraka mwaka mzima! Sijui tongozo siku hizi ni kazi cha ajabu unaweza hudumia halafu wenzio wanaramba!

Sitokaa niwaamini hawa viumbe kabisa yaani ni mwendo wa kuviziana, hit and run! Atakayemuwahi mwenzake ndo mshindi!!

Jamani tumechoka mizingaaaaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Sana mkuu!
NEVER TRUST THEM, wee KULA, ingia mitini, hata umnunulie gari GX au V8 ataliwa tigo humo humo ndani hata na BODA BODA
 
MKUU WATUMIE HELA TU UPEWE MZIGO,,SASA HIVI WANASEMA NI KITU KWA KITU.NA UKISHAMTONGOZA AU KUTOKA NAE OUT ATAJITAHIDI AKUWAHI KUKUOMBA HELA KABLA HUJAPEWA MZIGO NA PIA UKIOMBA MZIGO SIKU ZA OUT ATAJITAHIDI AKUNYIME KWA VIZINGIZIO SIKU HIYO IPITE MPAKA AKUOMBE HELA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom